Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
103.Surat Al-A's'r

Imeshuka Makka Ina aya 3
Utangulizi Orodha ya Sura Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Naapa kwa Zama! 12. Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara, 23. Ila wale walio amini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri. 3


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani