Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
104.Surat Al-Humazah

Imeshuka Makka Ina aya 9
Utangulizi Sura Nyingine Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Ole wake kila safihi, msengenyaji! 12. Aliye kusanya mali na kuyahisabu. 23. Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele! 34. Hasha! Atavurumishwa katika H'ut'ama. 45. Na nani atakujuvya ni nini H'ut'ama? 56. Moto wa Mwenyezi Mungu ulio washwa. 67. Ambao unapanda nyoyoni. 78. Hakika huo utafungiwa nao 89. Kwenye nguzo zilio nyooshwa. 9


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani