Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
105.Surat Al-Fiil

Imeshuka Makka Ina aya 5
Utangulizi Sura Nyingine Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo? 12. Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika? 23. Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi, 34. Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni, 45. Akawafanya kama majani yaliyo liwa! 5


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani