Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
106.Surat Quraish

Imeshuka Makka Ina aya 4
Utangulizi Orodha ya Sura Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Kwa walivyo zoea Maqureshi, 12. Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za joto. 23. Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hii, 34. Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu. 4


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani