Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
107.Surat Al-Maau'n

Imeshuka Makka Ina aya 7
Utangulizi Sura Nyingine Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Je! Umemwona anaye kadhibisha Malipo? 12. Huyo ndiye anaye msukuma yatima, 23. Wala hahimizi kumlisha masikini. 34. Basi, ole wao wanao sali, 45. Ambao wanapuuza Sala zao; 56. Ambao wanajionyesha, 67. Nao huku wanazuia msaada. 7


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani