Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
108.Surat al-Kawthar

Imeshuka Makka Ina aya 3
Utangulizi Orodha ya Sura Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Hakika tumekupa kheri nyingi. 12. Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi. 23. Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu. 3


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani