Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
1.Surat Al-Kafirun

Imeshuka Makka Ina aya 6
Utangulizi Orodha ya Sura Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Sema: Enyi makafiri! 12. Siabudu mnacho kiabudu; 23. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 34. Wala sitaabudu mnacho abudu. 45. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 56. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. 6


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani