Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
1.Surat AnNas'r

Imeshuka Madina Ina aya 3
Utangulizi Orodha ya Sura Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, 12. Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, 23. Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba. 3


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani