Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
1.Surat Al-Masad

Imeshuka Makka Ina aya 5
Utangulizi Sura Nyingine Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. 12. Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. 23. Atauingia Moto wenye mwako. 34. Na mkewe, mchukuzi wa kuni, 45. Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa. 5


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani