Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
1.Surat Al-Ikhlas

Imeshuka Makka Ina aya 4
Utangulizi Sura Nyingine Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 12. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 23. Hakuzaa wala hakuzaliwa 34. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani