Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
113.Surat Al-Falaq

Imeshuka Makka Ina aya 5
Utangulizi Orodha ya Sura Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, 12. Na shari ya alivyo viumba, 23. Na shari ya giza la usiku liingiapo, 34. Na shari ya wanao pulizia mafundoni, 45. Na shari ya hasidi anapo husudu. 5


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani