Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
114.Surat AnNas

Imeshuka Makka Ina aya 6
Utangulizi Orodha ya Sura Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu, 12. Mfalme wa wanaadamu, 23. Mungu wa wanaadamu, 34. Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas, 45. Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu, 56. Kutokana na majini na wanaadamu. 6


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani