Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
93.Surat Wadh-Dhuhaa

Imeshuka Makka Ina aya 11
Utangulizi Orodha ya Sura Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Naapa kwa mchana! 12. Na kwa usiku unapo tanda! 23. Mola wako Mlezi hakukuacha, wala hakukasirika nawe. 34. Na bila ya shaka wakati ujao utakuwa bora kwako kuliko ulio tangulia. 45. Na Mola wako Mlezi atakupa mpaka uridhike. 56. Kwani hakukukuta yatima akakupa makaazi? 67. Na akakukuta umepotea akakuongoa? 18. Akakukuta mhitaji akakutosheleza? 89. Basi yatima usimwonee! 910. Na anaye omba au kuuliza usimkaripie! 1011. Na neema za Mola wako Mlezi zisimlie. 11


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani