Tarjuma ya Quran Tukufu kwa kiswahili
99.Surat Az-Zilzalah

Imeshuka Madina Ina aya 8
Utangulizi Sura Nyingine Faharasa


KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 01. Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake! 12. Na itakapo toa ardhi mizigo yake! 23. Na mtu akasema: Ina nini? 34. Siku hiyo itahadithia khabari zake. 45. Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia!6. Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao! 67. Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona! 78. Na anaye tenda chembe ya uovu atauona! 8


Sura Nyingine Faharasa

Chagua Sura Nyingine:

Imetarjumiwa na Sheikh Ali Muhsin Al-Barwani
Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani