FAHARASA M  

"FAHARASA"


A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z


M
 • Maarib, 34:16;
 • Maarut, 2:102,
 • Mabakhili wanashutumiwa, 17:29; 47:38;
 • Mabishano hayatakiwi, 29:46;
 • Macho, masikio na ngozi zitatoa ushahidi dhidi ya waasi, 41:20-23;
 • Madhehebu na makundi hayapendezi, 30:32; 42:13-14; 43:64;65; 45:17, 45:28;
 • Madina, 33:9-27;
 • Madyan, 7:85-93; 11:84-95; 29:36-37;
 • Mahurila'ini, 44:54;
 • Maisha ya dunia hii, 6:32; 57:20;
 • Maiti watafufuliwa, 6:36;
 • Maji, bahari mbili, 18:60; 25:53; 35:12; 55:19-20;

 •     wanyama wameumbwa kutokana nayo, 21:30; 24:45; 25:54;
 • Majina mazuri kabisa ya Mwenyezi Mungu, 7:180; 17:110; 20:8; 59:24;
 • Majini, 6:100; 15:27; 34:41; 46:29-32; 55:15; 72:1-15;
 • Makafiri, hawatawashinda walio wema, 8:60-61;

 •     hujitoma kiwenda wazimu, 70:36-39;
      huleta ubishi usio na maana, 18:56-57;
      hutumia kwa sababu isiyo na maana, 8:36;
      ibada zao upuuzi, 8:35;
      jeuri yao, 19:73-82; 35:43; 48:25-26;
      kama katika kiza kilicho funga, 24:40;
      kwenye vita watarudi nyuma, 48:22-23;
      msiwafanye wendani, lakini watendeeni wema na haki, 60:1-9;
      taabu yao bure, 18:102-106;
      vitendo vyao kama sarabi, 24:39;
      vitimbi vyao bure, 8:30;
      waelezwa, 9:73-78; 14:3;
      wajitapa na wabaguana, 38:2-14;
      wakitubu watasamehewa yaliyo pita, 8:38; 9:11;
      wana mawazo ya upuuzi, 52:35-44;
      wanabisha Aya za Mwenyezi Mungu, 40:4-6;
      wanadharau ufunuo, 8:31;
      wanaichukia Kweli, 43:78;
      wanakanya adhabu, 8:32-35;
      wanasaidiana wao kwa wao, 8:73;
      watabeba mizigo miwili, 16:25;
      watafunikwa na fedheha, 16:27;
      watamani lau wangeli amini, 15:2;
      watasutana Siku ya Qiyama, 34:31-33;
      wavunja makubaliano, 8:56;
 • Makka, Bakka, 3:96;

 •     kumkhusu Mtume s.a.w. 90:1-4;
      mji wa amani, 95:3;
 • Malaika, hawatumwi ila kwa jambo la haqi, 15:7-8

 •     hutumwa kuwaonya watu, 16:2;
      huwaombea msamaha wote walio duniani, 42:5;
      Jibril na Mikail, 2:97-98; kuwa ni wajumbe wenye mbawa, 35:1;
      kuwalinda watu, 82:10-12;
      kwenye ujumbe wa haqi na rehema, 79:1-5;
      makafiri huwapa majina ya kike Malaika, 53:2-7;
      na Roho hupanda kwenda kwa Mwenyezi Mungu, 70:4;
      Siku ya Qiyama, 25:25;
      wakosefu na Malaika, 25:21-22;
      wanamsemeza Mwenyezi Mungu, 2:30-34;
      wasajili, 50:17-18;
 • Mali, 2:188; 59:7-9;
 • Mali, kurimbika kunashutumiwa, 9:34; 104:2-3;
 • Malipo ya dhambi, 3:188; 6:15-16; 10:50-53; 11:101-104; 13:34; 16:88; 46:20; 70:1-3;
 • Malipo yasiyo na hisabu, 3:27; 39:10;

 •     bora kuliko kitendo kinavyo stahiki, 28:84; 30:39;
      kwa ajili ya mema, 55:60;
      kwa mujibu wa bora ya vitendo, bali zaidi, 24:38; 29:7; 39:35;
 • Mambo machafu, (Faah'ishah), 4:15-18;
 • Mambo machafu yaepukwe, 7:28;
 • Mambo yaliyo harimishwa, 6:151-152; 7:33;

 •     sio vitu safi na vizuri, 7:32;
 • Manaat, 53:20;
 • Manabii, 2:253; 3:33-34; 4:163-165; 5:19; 4:84-90; 23:23-50; 57:26-27;

 •     ahadi kutoka kwa, 3:81; 33:7-8;
      baadhi wametajwa, na wengine hawakutajwa, 40:148;
      kabisa hawendi kinyume na dhamana zao, 3:161;
      kwa nini wakatumwa, 6:48, 131; 14:4-6;
      mafanikio (ya kiroho), 87:14-15; 91:9-10;
      mashahidi dhidi ya watu wao, 16:89;
      na Mitume, 19:51;
      ni wanaadamu, lakini wameongoka, 14:10-12; 16:43-44; 17:94-95; 21:7-8; 25:7-8, 25:20;
      umma mmoja, 23:52-54;
      waaminiwe wote, 4:150-152;
      wafanyiwa kejeli, 6:10; 13:32; 15:11; 21:41;
      wakiteswa na kutishwa, 14:13;
      walikuwa na ahli zao, 13:38;
      walikuwa na maadui, 6:112; 25:31;
      wanakataliwa, 3:184; 6:34; 25:37; 34:45; 51:52-55;
      wauliwa, 3:183;
      wazisoma Aya za Mwenyezi Mungu, 10:47; 16:36;
 • Manyani, wenye kupindukia kufuru huwa kama manyani, 7:166;
 • Mapadiri na makohani, 9:31, 9:34;
 • Maradhi katika nyoyo za wanaafiqi na makafiri, 2:10; 5:52; 8:49; 9:125; 22:53; 24:50; 33:12, 33:32, 33:60; 47:20, 29; 74:31;
 • Mariamu, (mama wa Nabii Isa a.s.), kalinda uke wake, 21:91; 66:12;

 •     kamleta mtoto kwa watu wake, 19:27-33;
      katika kujifungua kwa uzazi, 19:23-26;
      kuzaliwa kwake, 3:35-37;
      Malaika kumwambia atamzaa Nabii Isa a.s., 3:42-51; 4-156; 19:16-21;
 • Marikebu, Ishara, 2:164; 14:32; 16:14; 17:66; 22:65; 31:31; 35:12; 42:32-33; 45:12; 55:24;
 • Masaibu na mafanikio, 7:94-96;
 • Masengenyo, 9:79; 24:19, 23; 68:11-12; 104:22;
 • Matamanio, kuyaabudu, 25:43;
 • Mateka wa vita, 8:67-71;
 • Mateso kwa moto, 85:1-11;
 • Matunda, 43:73; 47:15; 77:42-43;
 • Mauti, hayakimbiliki, 3:185; 4:78;

 •     kuyaonja, 3:185; 21:35;
      kwa amri ya Mwenyezi Mungu, 3:145;
      kwa wema, 16:30-32; kwa wenye maasi, 16:28-29
      mahangaiko ya waovu, 6:93-94;
      Malaika wanawasusuika makafiri, 8:50-54;
      mkosefu hafi Akhera yakamwishia mateso, 14:17; 20:74; 87:13;
      sio mwisho wa mambo yote, 45:24-26;
      wenye niya safi hawayakimbii, 62:6-8;
      ya kwanza, 37:59;
 • Mauwaji, 2:178-179; 5:32;
 • Mayahudi, husikiliza uwongo, 5:41-42;

 •     na Wakristo, 2:140; 4:153-161, 4:171; 5:18;
      uadui kwa Uislamu, 5:82;
      walio kuwa Waislamu, 26:197; 28:53; 29:47;
      wanakufuru, 5:64;
 • Mazungumzo ya upuuzi yaepukwe, 6:68;
 • Mbegu huchipua na kumea kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu, 56:63-67;
 • Mbingu saba, 2:29; 23:17; 65:12; 67:3; 71:15;
 • Miezi, idadi yake, 9:35-37;
 • Mifano, anaye poromoka akanyakuliwa na ndege n.k. 22:31;

 •     asiye sikia ila sauti tu, 2:171;
      buibui, 29:41;
      Bustani walio ahidiwa wema, 47:15;
      bustani ya starehe, 13:35;
      bustani yenye udongo wa rutba, 2:265-266;
      bwana mmoja na mabwana wengi, 39:29;
      jabali lisio ota kitu, 2:264;
      jivu linalo peperushwa na upepo, 14:18;
      kamba, 3:103;
      kipofu na kiziwi, 11:24;
      kiza cha baharini, 24:40;
      kumea mbegu, 48:29;
      maji ya mto yakididimia, 67:30;
      mazigazi, (sarabi au mangati), 24:39;
      mbwa mwenye kutoa limi lake, 7:176;
      mja asiye jiweza kitu, na mwenye kutenda kheri, 16:75-76;
      mji ulio kufa, 2:259;
      Mji ulio neemeshwa lakini hauna fadhila, 16:112-113;
      mlima unao jidhalilisha, 59:21;
      mti mbaya, 14:26;
      mti mzuri, 14:24-25;
      mtu aliye washa moto, 2:17-18;
      mvua inayo pita, 18:45-46;
      mvua na kukua mimea, 57:20;
      mvua na mdharuba, 10:24;
      mwanamke anaye tatua matamvuo, 16:92;
      Nuru, 24:35-36;
      nzi, 22:73;
      punda, 62:5;
      punje ya nafaka, 2:261;
      ukingo wa shimo linalo bugujika, 9:109-110;
      upepo wa baridi, 3:117;
      wakaazi wa mji, 36:13-32;
      washirika, 30:28;
      watu wa bustani, 68:17-33;
      watu wawili, anaye jivunia mali, na anaye mt'ii Mwenyezi Mungu, 18:32-44;
      wingu lilio beba mvua, 2:19-20;
 • Mii'raji, 17:1;
 • Miji iliyo pinduliwa, 69:9;
 • Mikataba, 9:1-4; 9:7-10;
 • Mikono na miguu itawashuhudia wenye madhambi, 36:65;
 • Milima, 20:105-107; 21:31; 31:10; 59:21; 73:14; 101:5;
 • Minong'ono ya siri, inayo ruhusiwa, 4:114;

 •     katika mikutano haipendekezi, 58:7-10, 58:12-13;
 • Misikiti, 9:17-19, 9:28;
 • Mitihani ya Mwenyezi Mungu, 3:154; 34:21;
 • Miungu ya uwongo, 7:194-198; 16:20-21; 21:22, 21:24; 34:22-27; 41:47-48; 46:5-6; 53:19-24; 71:23-24;
 • Mizani, 42:17; 55:7-9; 57:25; 101:6-9;
 • Mizani na vipimo, timiza kwa haqi, 17:35; 83:1-3;
 • Mizigo, hapana nafsi itayo beba zaidi kuliko kiasi chake, 2:286; 7:42; 23:62;

 •     kila mtu na wake, 6:164; 17:15; 29:12-13; 35:18; 39:7; 53:38;
      makafiri watabeba mardufu, 16:25;
 • Mkunazi, 34:16; 53:14-18; 56:28;
 • Moto, manufaa kwa watu, 56:72-73;

 •     mfano, 2:17-18;
 • Msamaha, 2:109; 4:48, 4:110, 4:116; 7:199; 39:53; 42:5; 45:14; 53:32; 57:21;

 •     waajibu wa Waumini, 42:37, 40; 45:14;
 • Msamaha wa Waumini kuwasamehe Watu wa Kitabu, 2:109;

 •     kuwa wa mbele kuutafuta, 57:21;
      Malaika wanawaombea msamaha wote wa duniani, 42:5;
      Mwenyezi Mungu anasamehe dhambi zote, 39:53;
      Mwenyezi Mungu anawasamehe wanao epuka madhambi makubwa, 53:32;
      na kupatana, 42:40;
      samehe hata ukikasirika, 42:37;
      shikamana nao, na utende mema, 7:199;
      wa Mwenyezi Mungu kwa dhambi zisio kuwa za kumshirikisha Mwenyezi Mungu, 4:48, 4:110, 4:116;
      Waumini wawasamehe makafiri, 45:14;
 • Msamaria, 20:85, 20:95-97
 • Msikiti (wa Qubaa), 9:107-108;
 • Mtu, Mwanaadamu,

 •     afanyiwa mtihani na Mwenyezi Mungu, 2:155; 3:186; 47:31; 46:15; 70:22-35;
      ajali yake kafunganishwa nayo kwenye shingo yake, 17:13;
      ajifanyia vitimbi dhidi ya nafsi yake, 6:123; 10:44;
      akarudishwa chini isipo kuwa mwenye kuamini na akatenda mema, 95:5-6;
      ametunukiwa vipawa, 90:8-10
      ameumbwa katika misukosuko na mashaka, 90:4;
      ameumbwa na anaruzukiwa na Mwenyezi Mungu, 67:23-24; 74:12-15;
      amuabudu Mwenyezi Mungu, 39:64-66;
      ana pupa, 17:11; 70:19-21;
      anajikusuru kumwendea Mwenyezi Mungu, 84:6;
      anamjua Mwenyezi Mungu, lakini anapotozwa na Uovu, 7:172-175;
      anaomba maovu, 17:11;
      anapindukia mipaka yote, 96:6-14;
      anarubuniwa amwache Mwenyezi Mungu, 82:6-12;
      anaupenda ulimwengu unao pita, 76:27;
      anawania malengo mbali mbali, 92:4-11;
      aonywa na fitina za Shet'ani, 7:27;
      asili yake dhalili, lakini kabarikiwa kwa fadhila, 16:4-8; 32:7-9; 35:11; 36:77-78; 76:1-3; 77:20-24; 80:17-32; 86:5-8; 96:2-5;
      atahukumiwa kwa mujibu wa Daftari lake, 17:71;
      atapanda t'abaka juu ya t'abaka, 84:16-19;
      ataumbwa upya baada ya kufa, 56:60-61;
      aumbwa kutokana na udongo kwa muda, 6:2; 15:26;
      hana fadhila, 7:10; 36:45-47; 74:15-25; 100:1-8;
      hapana nyoyo mbili katika kifua kimoja, 33:4;
      jeuri yake, 75:31-40;
      jukumu ni juu yake mwenyewe, 6:164;
      kaumbwa kutoka maji, 25:54;
      kaumbwa kwa umbo bora kabisa, 95:4;
      kufa na kufufuliwa, 23:15-16;
      kukua kwake kimwili, 22:5; 23:12-14; 40:67;
      kukua kwake na harakati zake kama apendavyo Mwenyezi Mungu, 56:57-74;
      kuwa ni khalifa kwenye ardhi, 2:30; 6:165;
      makhusiano ya uzazi na ndoa, 25:54;
      Malaika wanasajili vitendo vyake, 50:17-18,50:23;
      mali na wana huwa ni mtihani, 64:14-15;
      masaibu ni kutokana na makosa yake, 42:30;
      mwendo wake, 10:12; 11:9-11; 16:53-55; 17:67-70; 29:10, 29:65-66; 30:33-34; 31:32; 39:8, 39:49; 41:49-51; 42:48; 89:15-16;
      mwenye madhambi, 89:17-20;
      na maisha ya ukoo wake, 7:189-190;
      ndimi, mikono na miguu itamshuhudilia mwanaadamu, 24:24;
      Roho ya Mwenyezi Mungu kapuliziwa, 15:29;
      ushahidi wa kupinga nafsi yake, 75:14-15;
      vitu anavyo vitamani, 3:14;
      waajibu, 4:1-36; 17:23-39; 29:8-9; 30:38; 31:33; 45:15; 70:22-35;
      waovu watababaika wakati wa kufa, 6:93-94;
      watarejea kwa Mwenyezi Mungu, 6:60, 6:72; 10:45-46;
      watu watao tukuzwa, 70:22-35;
      yampasa ajisalimishe kwa Mwenyezi Mungu, 31:22;
 • Muda, kila watu wana wao, 7:34; 10:49; 15:4-5; 16:61; 20:129;
 • Muh'ammad s.a.w.,

 •     Ahli Bait, Watu wake wa nyumbani, 33:28-34, 33:50-53, 33:55, 33:59; 66:1, 66:3-6;
      ametabiriwa na Nabii Isa a.s., 61:6;
      ametabiriwa na Nabii Musa a.s., 46:10;
      amt'ii Mwenyezi Mungu na awe karibu naye, 96:19;
      ana hamu kwa Waumini, 9:128;
      ana t'abia tukufu, 68:4;
      anakejeliwa, 25:41-42; 34:7-8;
      analeta Ujumbe kama ulivyo funuliwa kwake, 10:15-16;
      analetewa Wah'yi, 18:110; 53:2-18;
      aongoza kutoka gizani kwendea mwangaza, 65:11;
      ashindane na makafiri, 66:9;
      Dini yake itashinda dini zote, 61:9;
      hataki ujira, 25:57; 34:47; 38:86; 42:23;
      hishima anayo stahiki, 2:104; 4:46;
      kamwona Malaika wa Wah'yi, 53:4-18; 81:22-25;
      katumwa kuwa neema kwa Waumini, 3:164; 4:170;
      kazi yake, 3:164; 4:70-71; 6:107; 7:156-157; 10:2; 52:29-34; 74:1-7;
      kufikisha Wah'yi kwa ukamilifu kama ulivyo mfikia, 11:12-14; 46:9;
      kuita kujadiliana kwa njia iliyo bora kabisa, 16:125-128;
      kumt'ii yeye ndiyo kumt'ii Mwenyezi Mungu, 48:10, 48:18;
      mafunzo yake, 11:2-4; 12:108; 34:46-50;
      moyo wake unawahuzunikia watu, 15:97; 16:127; 18:6; 25:30;
      mpole, 3:159;
      msimpinge, 58:20-22;
      Mtume wa Mwenyezi Mungu, 48:29;
      Mtume wa ulimwengu mzima, 34:28;
      mwenye kushika S'ala, 73:1-8, 73:20; 74:3;
      mwenye kusoma maandishi matakatifu, 98:2;
      Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuushuhudia Ujumbe wake, 13:43; 29:52; 46:8;
      Mwisho wa Manabii, 33:40;
      mwonyaji, 7:184, 7:188; 15:89; 53:56-62;
      na kipofu, 80:1-10;
      na kwa Watu wa Kitabu, 5:19;
      ni rehema iliyo toka kwa Mwenyezi Mungu, 28:46-47; 33:45-48; 36:6; 42:48; 72:20-23, 72:27-28; 76:24-26;
      rehema kwa viumbe vyote, 21:107;
      rehema kwa Waumini, 9:61;
      ruwaza njema, 33:21;
      shahidi, 73:15-16;
      si mtunga mashairi wala kuhani, 69:40-43;
      si mwendawazimu wala hana shet'ani, 7:184; 68:2; 81:22;
      si zaidi kuliko kuwa ni Mtume, 3:144;
      Ujumbe wake, 7:158; 48:8-9;
      ummiyyi, hajui kusoma wala kuandika, 7:157; 62:2;
      waajibu wake, 27:91-93; 30:30;
      yu karibu na Waumina, 33:6;
 • Muhanga, 22:34-37;
 • Muhula, 3:178; 10:11; 14:42-44; 29:53-55; 86:15-17;
 • Musa a.s.,

 •     aghadhibika kuabudiwa ndama, 20:86-98;
      anaongozwa na Mwenyezi Mungu, 6:84;
      anapinga ibada ya masanamu, 7:138-141;
      anaudhiwa na watu wake, 61:5;
      anawanasihi Wana wa Israili, 5:23-29;
      aongozwa Njia Iliyo Nyooka, 37:114-122;
      awakaripia watu wake kuabudu ndama, na anawaombea, 7:148-156;
      awasilimisha wachawi wa Kimisri, 20:70-73; 26:46-52;
      Ishara tisa zilizo wazi, 7:133; 17:101;
      katika Madyan, 28:22-28;
      kauona Utukufu mlimani, 7:142-145;
      Kitabu chake, shaka shaka na khitilafu, 11:110;
      kufundisha watu wake shukrani, 14:5-8;
      makutanio ya Bahari mbili, 18:60-82;
      na Firauni, 7:103-137; 10:75-92; 11:96-99; 17:101-103; 20:42-53, 20:56-79; 23:45-49; 25:35-36; 26:10-69; 28:4-21, 28:31-42; 40:23-46; 43:45-56; 51:38-40; 79:15-26;
      na Moto, 27:7-14; 28:29-35;
      na qaumu yake, 2:51-61;
      qaumu yake, 7:159-162;
      utoto wake, mama na dada yake, 20:38-40; 28:7-13;
      Vitabu vya, 53:36; 87:19;
      Wito wake, 19:51-53; 20:9-56; 28:29-35;
      yaliyo mpata Mjini, 28:14-21;
 • Mvinyo ya Peponi, 47:15; 76:21; 83:25;
 • Mvua, neema ya Mwenyezi Mungu, 56:68-70;
 • Mwanamke aliye koswa, mashtaka yake yamekubaliwa, 58:1-2;
 • Mwenyezi Mungu,

 •     ahadi yake ni ya kweli, 4:122; 14:47;
      Aliye juu, Mkuu, 4:34; 87:1;
      amekupa uhai, 2:28; 6:122;
      ameumba na anaviqimu vitu vyote, 7:54; 13:16-17; 21:30-33; 25:61-62; 66:2-3;
      Amri ni yake, 6:57; 13:41;
      amri yake lazima iwe, 16:;
      amri yake ni moja, 54:50;
      ana majina mazuri kabisa, 7:180; 17:110; 20:8; 59:24;
      anaamrisha mambo yote, 6:95-99;
      anafanya mitihani, 3:142, 3:154, 3:166; 6:53; 29:2-5; 67:2;
      anaitia kwenye Daru Ssalaam (Nyumba ya amani), 10:25;
      anakubali mema yote, 4:147;
      anaona yote, 3:163;
      anaongoa, 6:71, 6:88; 92:12;
      anaruzuku, 29:60-62; 51:58;
      anaruzuku bila ya hisabu, 24:38;
      anasafisha, 4:141, 4:154;
      anashuhudia yote, 10:61;
      anatakasa, 4:49;
      anateremsha Wah'yi (Ufunuo), 6:91-92;
      anatoa uhai na mauti, 3:156; 6:95; 15:23;
      anatosheleza, 3:173; 8:64; 39:36; 65:3;
      anawapa watu Nuru, 6:122;
      anaweka sharia na uwongofu, 87:3;
      anaye mkanya, anaelezwa, 50:24-26;
      anayo yaamrisha, 16:90-91;
      anazijua siri za ndani kabisa, atapambanua uovu na wema, 3:179;
      atawaonesha ukweli wa yatendayo, 58:6;
      ghadhabu zake, 1:7; 7:97-99;
      H'aqiqa ya pekee, 6:62; 20:114; 31:30;
      Hadhulumu hata chembe, 4:40;
      hakubali malipo yapotee, 9:120-121; 11:115;
      hakuzaa mtoto, 2:116; 6:100; 10:68; 19:35; 23:91;
      hana mke, wala mabinti, 6:100-101; 16:57; 37:149-157; 43:16-19;
      hana washirika, 6:22-23, 6:136-137, 6:163163;
      hawabadilishii watu neema yake mpaka wao wabadilike, 8:53; 13:11;
      hawapotezi watu, 9:115;
      huokoa katika shida, 6:63-64;
      huondoa maafa, 6:17;
      hupeleka utulilvu, 3:154; 9:26; 48:4, 48:18, 48:26;
      hupenda kufanya mambo mepesi, 4:28;
      hutwaa roho za watu, 39:42;
      huweka walinzi kuwalinda watu, 6:61;
      Ilimu yake, 2:284; 3:5, 3:29; 6:3, 6:117; 13:8-10; 16:23; 21:4; 31:34; 34:2; 64:4;
      "Inshallah" (Mwenyezi Mungu akipenda), 18:23-24;
      kama Mlinzi kwenye malindizo, 89:14;
      Karimu kushinda wote, 96:3;
      kujilinda kwake na balaa zote, 113:1-5; 114:1-6;
      kujitolea uhai kwa ajili yake, 6:162;
      kukata hukumu ni kwake, 42:10;
      kumuabudu, 2:114, 2:152;
      kutaka Wajihi wake, 6:52; 18:28;
      kwa wema hupokea yaliyo bora yao, na akayasamehe maovu yao, 29:7; 46:16;
      kwake Yeye hurejea mambo yote , 3:109, 3:128; 42:53; 53:42; 96:8;
      macho hayamfikilii, 6:103;
      maneno yake hayeshi, 18:109; 31:27;
      Mbora wa kukata shauri, 10:109;
      Mbora wa kupanga, 3:54; 13:42;
      Mbora wa wanao rehemu, 23:109, 23:118; 7:151; 12:64, 92,; 21:83;
      Mkwasi, hakupungukiwa na kitu, 31:26; 35:15;
      Mlezi, 1:2; 6:164;
      Mlinzi, 2:257; 3:150; 22:78;
      Mmoja, si mmoja katika Utatu, 5:72;
      Mola Mlezi, 2:21-22;
      Mola Mlezi Mwenye nguvu, 51:58;
      Mola Mlezi wa A'rshi, 9:129; 23:16, 23:86; 40:15; 85:15;
      Mola Mlezi wa daraja za kupandia, 70:3;
      Mola Mlezi wa mashariki mbili na magharibi mbili, 55:17; 70:40; 73:9;
      Mola Mlezi wa mbingu na ardhi, 16:77; 43:84;
      Mpole, Msamehevu, 2:225, 2:235, 2:263; 3:155; 5:101; 22:59; 53:32; 64:17;
      Msaidizi, 3:150; 4:45; 4:51;
      Msamehevu, 4:25, 4:26; 5:74; 15:49; 16:119; 39:53; 85:14;
      Mtegemewa, 3:173; 73:9;
      Muadilifu kushinda wote, 96:8;
      muelekee Yeye, 94:8;
      Muumba wa kila kitu, 2:29, 2:117; 6:73;
      mwanzo na mwisho ni wake, 92:13;
      Mwenye fadhila, 3:174;
      Mwenye hikima, 4:26; 6:18;
      Mwenye kujitosha, 6:133;
      Mwenye kushinda, 6:18, 6:61;
      Mwenye kustahiki sifa zote, 1:2; 31:26;
      Mwenye kutenda atakalo, 85:16;
      Mwenye mapenzi, 85:14;
      Mwenye nguvu, Mwenye hikima, 31:9; 39:1;
      Mwenye rehema, 1:1, 1:3; 4:29; 5:74; 6:12, 6:54, 6:133; 27:30; 52:28; 55:1;
      Mwenye shukrani kwa ibada, 35:30; 64:17;
      Mwenye uweza, 2:284; 3:29; 6:65; 16:77-81;
      Mwepesi wa kuhisabu, 24:39;
      Mwepesi wa kulipa, lakini Msamehevu, na Mwenye kurehemu, 7:167; 13:6;
      na Ishara zake, 10:3-6; 13:2-4;
      Neno lake latimia, 6:115;
 • Mwenyezi Mungu, neema zake, 6:141;

 •     akaikunjua ardhi na akaeneza matunda, nafaka, na mimea mingine, 55:10-12;
      akaweka uadilifu, 55:7-9;
      ameiwekea nidhamu mbingu kwa ukamilifu, 79:27-28;
      ameumba mbingu na ardhi na vitu vyao vyote, 31:10;
      amevijaalia vitu vyote vikutumikieni, 31:20; 36:71-73; 45:12-13;
      anaitikia na anazidisha fadhila, 42:26-28;
      anakuendesheni nchi kavu na baharini, 10:22;
      anapokea toba na anasamehe, 42:25;
      ardhi na mbingu, 41:10-12; 51:47-48;
      bahari na vyombo vya baharini, 16:14; 17:66;
      eneo la ardhi, na maji yake, na malisha yake, na milima, 79:30-33;
      hapana wa kuzuia rehema yake, 35:2-3;
      hazina hisabu, 14:34; 16:18;
      huanzisha uumbaji, na hurejeza, na huruzuku, 27:64;
      huleta mvua akahuisha ardhi, 29:63;
      humkidhia haja za kila kiumbe, 55:29
      humtosheleza mhitaji, 93:8;
      humuitikia mja, na humrithisha ardhi, 27:62;
      huongoza kizani, na pepo zaleta bishara, 27:63;
      huruzuku viumbe vyote, 29:60-62;
      husuluhisha mambo yao, 55:31;
      kamuumba mwanaadamu na akamfunza kusema, 55:3-4;
      katika kuzaliwa kwetu, na viungo vyetu, na mapenzi yetu, 16:77-78;
      katika uhai na mauti, 10:31, 10:56;
      kudhalilishwa ardhi na bahari kwa manufaa yetu, 22:65;
      kukupanulia kifua chako, n.k. 94:1-4
      kuumbwa binaadamu, nasaba na ndoa, 25:54;
      kuumbwa mbingu na ardhi na yenye faida kwa mwanaadamu, 27:60-61;
      lulu na marijani, 55:29;
      maji ya namna mbali mbali, 25:53; 55:19-20;
      majumbani kwetu na khuduma wanazo tupa wanyama, 16:80-81;
      marikebu, 55:24;
      mbingu na ardhi, mvua na uhai, 43:9-11;
      milima, mito, barabara, 16:15-16;
      mito na maji yanayo chiririka, 67:30;
      mkururo wa Manabii walio fuatana, 23:23 n.k.
      mvua, mimea na matunda, 16:10-11;
      mwongozi wa mwenye kutanga tanga, 93:7;
      neema kutoka mbinguni na kwenye ardhi, 23:17-22;
      nyama hoa (mifugo), 6:142;
      nyama hoa na vitu msivyo vijua, 16:5-8;
      nyuki, 16:68-69;
      poza, uwongofu na rehema, 10:57;
      rehema baada ya shida, 10:21;
      uhai, mimea, matunda na chemchem, 36:33-35;
      ulinzi wa yatima, 93:6;
      upepo na mvua, 25:48-50;
      usiku, kiza chake na uzuri wake, 79:29;
      usiku na mchana, jua, mwezi na nyota, neema za katika mbingu na ardhi, 16:12-13;
      usiku na mchana na usingizi, 25:47;
      uumbaji kwa jozi, marikebu na wanyama, 43:12-13; 51:49;
      vivuli na jua, 25:45-46;
      zinatolewa njia mbali mbali; yafaa mshukuru, 16:71-73;
 • Mwenyezi Mungu, ni nani hao waja wake? 25:63-76;

 •     ni nani Yeye, 2:255; 3:2-3, 6:6, 3:18; 6:95-103; 25:2-3, 25:6; 32:2-9; 40:2-3; 43:84-85; 57:1-6; 59:22-24; 112:1-4;
      ni Nuru ya mbingu na ardhi, 24:35-36;
      Nuru yake itakamilika, 9:32-33; 61:8;
      nusura yake, 110:1-3;
      sharia zake hazibadiliki, 6:34; 18:27;
      sifa zote njema ni zake Yeye, 1:1; 17:111; 30:17-19; 34:1; 37:180-182; 45:36-37; 55:78; 56:74; 59:1; 61:1; 62:1; 64:1; 13:2-4;
      twamtegemea Yeye, 67:29;
      Uadilifu, 21:47;
      Ufalme wake, 3:186; 4:126; 5:120; 67:1;
      Upweke wake, Tawh'id, 2:163; 6:19; 16:22; 23:91-92; 37:1-5; 38:65-68; 112:1-4;
      urithi wa mbingu na ardhi ni wake, 3:180; 15:23; 19:40;
      usimsahau kabisa, 59:19;
      Ustadi wake, 27:88;
      ut'iifu wa kweli ni kwake Yeye, 39:3, 39:11; 40:14;
      vipawa vyake huwapa wote, 17:20-21;
      viumbe vyote vinamtaja Yeye, 13:12-13; 17:44; 24:41-46; 57:1;
      vyote vitaangamia isipo kuwa Yeye, 28:88;
      wa kuabudiwa na kutegemewa, 11:123;
      Wa milele, 2:255; 20:111;
      wachamngu, 92:17-21;
      Wajihi wake utabakia milele, 55:27;
      wala si mmoja wa wawili, 16:51;
      wanao dai kuwa ni wapenzi wake peke yao wanashutumiwa, 62:6;
      wanao khasiri kwa ajili yake watalipwa, 16:41-42;
      wanao mkataa hawamdhuru kitu, 47:32;
      wema wote watoka kwake, 16:53;
      yaliyo kwake yatabaki, 16:96;
      yu karibu na mwanaadamu, 2:186; 17:60; 34:50; 50:16; 56:85; 57:4;
      Yuhai, 2:255; 40:65;
      yupo kila pahali, 2:115; 7:7

  A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z


  Orodha ya Sura
  Chagua Sura:
  Faharasa

  Ikiwa una ushauri au maoni juu ya tarjuma hii, andika kwa anwani hii qurani-tukufu@geocities.com 
  Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani