Al Ikhlas maelezo
Kwa jina la Mwenyeezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu
Maelezo: Suuratul Ikhlas

Utangulizi:

Rudi kwenye sura

* 1. Ewe Muhammad! Hao wanao sema kwa kejeli, "Tusifie Mola wako Mlezi.": waambie: Yeye ni Mwenyezi Mungu wa pekee hapana mwenginewe, wala hana mshirika.
Rudi kwenye sura

* 2. Mwenyezi Mungu Mwenye kukusudiwa peke yake katika haja zote, na yote yanayo takikana.
Rudi kwenye sura

* 3,4. Hana mtoto wala hakuzaliwa na baba wala mama, wala hana yeyote aliye mshabihi, au mfano wake.
Rudi kwenye sura

* 3,4. Hana mtoto wala hakuzaliwa na baba wala mama, wala hana yeyote aliye mshabihi, au mfano wake.
Rudi kwenye sura

Copyright © 22 August 1997, Sheikh Ali Muhsin Al Barwani